
Baada ya kuona ananilazimisha nilimtishia kuwa nitapiga kelele. ilibidi nimzuie mzoa taka nakumwambie akavae nguo zake huku nikiwa na sura ya ukauzu. Mzoa taka alienda kuvaa nguo zake na baadae nilimwambia atulie ili niangalie mazingira ya kumtoa ndani ya nyumba yetu bira kugundulika. Nilienda kuhakikisha mazingira vizuri na baada ya kugundua kuwa baba yupo chumbani kwake nilirudi haraka chumbani kwangu na kwenda kumtoa mzoa taka. "Ondoka na ole wako nikuone hapa" nilimwambia huku nikimpiga mkwala asije kurudia tena kunichezea mchezo wa kufanya mapenzi na mimi bira ridhaa yangu. Mzoa taka kabra hajaondoka alijitambulisha kwa jina la Damian na aliniambia kama
0 Comments