MAHABA YA MZOA TAKA 11 🔞🔞

MAHABA YA MZOA TAKA 11 🔞🔞

Baada ya Alex kuniuliza nilifikiria kitu cha kumjibu na baadae niliamua kumwambia. "Jana tulikuwa na semina ya kikazi ndiyo maana sikuweza kurudi nyumbani na nililala huko huko" niliongea huku nikiwa na wasiwasi kidogo na sikutaka kumwangalia Alex machoni . "Semina jumamosi mke wangu au umesahau kama jana haikuwa siku ya kazi!?" Baada ya kuniuliza swali jingine ndiyo alizidi kunichanganya na ilibaki kidogo tu aweze kugundua ila niliamua kutumia uwanamke wangu kwa kujitetea mbele yake kwa kumwambia kuwa semina ilipangwa kufanyika siku iliyopita ilikuwa jumamosi. Kumwambia pekee niliona haitoshi nilimrukia pale pale kitandani alipokuwa amelala na kuanza kumwambia. "Nilikumiss mme wangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments