
Dunia imepitia mengi saana ya kutisha ,Leo nakusimulia kisa Cha kutisha kuhusu malikia alieua mabikra wengi na kuoga damu zao, hii sio hadithi ya kubuni au hadithi za AI hapana Bali ni kisa Cha kweli na kipo ktk kamusi na kwenye vitabu mbalimbali vya historia Elizabeth Báthory (1560–1614) “Countess wa Damu” Katika karne ya 16, Ulaya ya Mashariki ilikuwa imefunikwa na hofu, imani za kishirikina, na giza la ukatili wa kifalme. Ndani ya majumba makubwa ya kifahari ya Hungaria, aliishi mwanamke mmoja mwenye sura ya heshima, cheo cha juu, na mali zisizo na kifani. Jina lake lilikuwa Elizabeth Báthory —
0 Comments