Marcello Allende aliitwa kwa majaribi katika mashindano ya Durban International Cup.o na Arsenal mwaka 2016, ambapo alicheza na kikosi cha Under-19 cha Arsenal

Marcello Allende  aliitwa kwa majaribi katika mashindano ya Durban International Cup.o na Arsenal  mwaka 2016, ambapo alicheza na kikosi cha Under-19 cha Arsenal

Baadaye, alipata fursa ya majaribio zaidi, na Aprili 2017 kulikuwa na ripoti kwamba Arsenal walivutiwa na kijana, lakini changamoto ikawa kwenye suala la kumpa mkataba. Kumbuka kuna sheria za FIFA ambazo haziruhusu mchezaji wa kimataifa mwenye umri chini ya miaka 18 kupewa mkataba wa kitaalam (professional contract) Mwaka 2022, Kwa Billion 7 na Million 900, Mamelodi Sundowns FC walimpata Marcello Allende akitokea Montevideo City Torque ya Uruguay 🇺🇾.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments