MR ARROGANT 17&18*

MR ARROGANT 17&18*

Baada ya siku ndefu ya kazi, Leon alimwambia Jasmine . “Usiondoke leo nataka tuwe na usiku wa tofauti mimi na wewe . Jasmine alitabasamu kwa aibu. Hakujua Leon alikuwa na mipango gani, ila moyoni alitamani kila kitu kizuri kitokee. " Watu wote wameondoka? " Ndio hao tumebaki mimi na wewe na mlinzi getini. " Basi hatuna muda wa kupoteza twende zetu. Walitoka ofisini huku Leon akiwa kabeba pochi ya Jasmine Walipofika nje walipanda kwenye gari ya kifahari ya Leon. Waliondoka na kwenda sehemu moja ambayo ilikuwa ni uwanja kama wakichezea mpira . Gari ilisimama hapo leon akawasha taa full ,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments