
MARIA Sehemu ya 5____6 Simulizi za john 0789 824 178 Full 100 Kesho yake sa 10 alfajir nikaamka nikapanga seblen nikatafuta dekio sioni nikachukua nguo yangu ya zaman nikadek seblen dinning na jikon nikaosha vyombo nikatoka nje kumbe kuna mbwa wakanibwekea wee nusu waniume hawanijui nikarudi ndani mbioo, nikashindwa kuendelea nikarudi chumbn nawaza nifanyaje nikarud jikon nikaangaza nikaona kitambaa kisafi kimetundikwa pembn ya kabat nikajua cha vyombo nikafuta vyombo nikafuta kila mahali kukawa safi ikafika sa moja mie nimejizungushaaa niko seblen nasinzia nikastuliwa na mama akasema we maria uliamka sa ngap mbna umefanya kaz jmni maria nilikuambia usifanye, nikamwambia samahani
0 Comments