*MENEJA KAJICHANGANYA* Sehemu 1 Mimi naitwa Conrad maarufu kama Cony

*MENEJA KAJICHANGANYA*  Sehemu 1  Mimi naitwa Conrad maarufu kama Cony

mtaani kwangu na maeneo yote niliyowahi kuishi... Kwa muda wa miaka mitatu sasa naishi Bagamoyo baada ya kuhamia kutoka mkoani.. Ni mfanyakazi wa kiwanda kimoja huku bagamoyo nikiwa kama fundi wa mitambo na mashine za kiwanda... Mwishoni mwa mwezi uliopita baada ya hali ngumu sokoni na mzigo mkubwa wa madeni ya kodi na tozo mbalimbali alizokutana nazo boss wangu basi alijikuta akifunga kiwanda chetu alichokuwa amefungua huku bagamoyo tangu 2021.. kiwanda kilikuwa ni cha kuzalisha vifungashio vya bidhaa tofauti tofauti kama chupa, makopo na mifuko ya plastiki... Kwa elimu yangu ya ufundi mitambo niliyoipata veta basi nilibahatika kupata ajira kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments