
wanaonekana watumishi mbalimbali katika falme hiyo wakiwa wanahangaika huku na huku kutokana na jambo kubwa lililokuwa linaendelea usiku huo katika jumba hilo la kifalme. "Kyaoooo mfalme,ni salamu iliyokuwa inatumika katika falme iyo ya ADELI "Setuleeeeeee,mfalme aliitikia salamu" "Mfalme Malikia Andwaa kajifungua mtoto wa kiume" "Emesema????" "Mfalme mkeo kajifungua mtoto wa kiume" "Hahahahahaha ni furaha iliyoje katika jumba hili tukufu la kifalme ,pongenzi kubwa kwako bi yetunde kwa kazi kubwa uliyoifanya,umekuwa mkunga wa mda mrefu katika falme yetu hii na sasa ni mda wa wewe kupatiwa zawadi itakayofaa kwa kazi kubwa uliyoifanya" "Mtukufu mfalme na fanya ivi kwa ajili ya kulinda
0 Comments