
wanajeshi wa ufalme wa AZENI wakiongozwa na Mfalme wao walivamia kwenye ufalme huo wa PADALA hali iliyopelekea wanajeshi wengi wa ufalme wa PADALA wapoteze maisha. Mfalme wa PADALA aliamua kumchukua mke wake aliyekuwa amebeba mtoto mdogo ili waweze kutoroka na kuukimbia ufalme wao baada ya kuzidiwa na kupoteza wanajeshi wengi. Walianza kukimbia ila kabra hawajafika mbali walizungukwa na maadui zao. "Mfalme nilikwambia huna uwezo wa kushindana na mimi kwa usalama wako inatakiwa unioneshe ni wapi hazina zilipo" "Siwezi kukuonesha hazina zilipo ila kama ni ufalme nipo tayari kukuachia. naomba unipe nafasi ya mimi kuondoka na familia yangu twende tukaishi mbali"
0 Comments