
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺 Aaaah Nyumbani kwetu Bwana Pesa ipo, Yaani maisha ni shwafiiii na salama kabisa, makuzi yangu Nimekuwa nikiwa ni Binti Fulani hivi, Mtulivu sana, Binti ambaye sipendi mambo Mengi Mengi, na hali hii ilipelekea mimi kukosa ata marafiki. Sio kwamba sikuwa na marafiki kabisa hapana, Yaani nilikuwa nao lakini sio wale wa kusema ni wa kufa na kuzikana marafiki nilikuwa nikakutana nao shuleni, na ata chuoni kipindi ambacho mimi nilikuwa nikisoma chuoni. Nyumbani kwetu tumelelewa kwenye maadili mema sana, lakini pia Nyumbani kwetu kuna taratibu zake ambazo kila mtu lazima azifuate. Kati ya karatibu ambazo baba yangu Aliweka moja wapo
0 Comments