
, kWa upande wangu nilikuwa na maumivu ambayo Sijui ata niwaelezee vipi, Yaani maumivu ambayo kimoyomoyo nilikuwa nikijiambia Kuwa sitakuja kucheza Tena huu mchezo Walahi, Yaani nilikuwa nikijiapiza Mara Mbili Mbili. "Anaya, usille sasa si unaona watu wamejaa mlangoni hapo jamani" Alizungumza frank akiwa na wasiwasi sana, akiangalia na mazingira ya ofisi yalivyokuwa ndio kabisa, Yaani ofisi ilikuwa vuluvułu kwaajili ya mechi yetu ya kipuuzi. "Vas Bası" Alizungumza frank uku akinisaidia kuvaa baada ya yeye kumaliza kuvaa. Baada ya kila kitu Kuwa Sawa na frank kupulizia air freshener polepole Frank akafungua mlango. na wafanyakazi pamoja na baba frank na flora
0 Comments