
, maana sikutalajia kabisa kusikia neno Kama ilo kutoka kwa frank, moyo wangu ulifurahi sana, lakini kuna Namna nilijikuta nikishindwa kumuamini Franık kutokana na jinsi ambavyo Mimi namfahamu yeye na ukauzu wake. "Frank Ebu acha mambo yako Sawa? Narudia Tena, chochote kile ambacho kilitokea kati yetu ilikuwa ni mistake na ujinga wangu wa kushindwa kujiheshimu mbele yako" "Aaaah Anaya usinifanyie hivyo Basi mwenzio, na usiseme hivyo wewe sio mjinga, mjinga ni Mimi ambaye niliweka Hasira zangu mbele pasi na kufikilia kuhusu wewe, Anaya kWa generation hii ni kazi sana kumkuta mwanamke akiwa na usichana wake Karna wewe, ninachoongea Namaanisha nakupenda
0 Comments