MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Tano ( 5 )

MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Tano  ( 5 )

************* @Kila Mtu 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝 .............ilipoishia Gafra! Kichefu chefu kilinipata nikajikuta nimetapika pale sebreni "jamani vitu nisivyoviitaji ndivyo navyopata yani kuna wanaume kibao wanatafuta watoto lakini napata mimi nisiyeitaji familia umepata mimba we malaya alienda nyuma ya mlango na kutoa rungu akaniambia"utachagua nikutoe kwa njia ya kusukuma au nikufanyie operation we si kuku unataga unavyojisiki nakumbuka sana maneno hayo kabla sijajifikiria zaidi alinirukia kwa hasira na kunipiga rungu la tumbo nilijikuta napoteza fahamu kwa uchungu ule sikuweza kuvumilia kabisa. Nilikuja kushituka! nikiwa nimefungwa bandeji kichwani lakini niliamua kutulia kimya kama sijui chochote ili niweze kujua mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea kwa muda ule

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments