UNKNOWN BABY MAMA SEHEMU YA KUMI NA SABA

UNKNOWN BABY MAMA SEHEMU YA KUMI NA SABA

________________________________________ “ mama siku ile wakati natoka shule, nilishuka kwenye school bus, nikamuona Yule mama ambae tulikuwa tunaishi nae, akanishika alafu nikalala, nimekuja kuamka naona nipo kwenye sehemu giza, nikajua ni usiku il Yule mama alikuwa na wanaume watatu wakawa wanasema “ huyu mpuuzi ndio amesababisha ndoa yangu ivunjwe anatakiwa auwawe ili mama yake ajute kucheza na watu asio wajua, nikaanza kulia mama, nikawa nawaomba msamaha wasiniue ila wakaanza kunipiga vibao na kusema kuwa nilazima wewe ujute, kwani umewakosea nini mama mpaka watake kuniua, naogopa mama, akawa anaongea mwanangu huku analia… “ sijawakosea kitu , walikuwa wanataka kukuuwa kwa sababu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments