MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Saba ( 7 )

MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Saba  ( 7 )

************* @Kila Mtu 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝 Nilikuja kushituka! asubuhi mwili wangu ulikuwa unaniuma sana nilipojiangalia miguuni nilikuwa na michirizi ya damu na haikuwa kitandani nilipokuwa jana n nilijikuta sebreni uku mkononi nikiwa nimeshikishwa kikaratasi machozi yalinitoka kuna tukio kama nililihisi ila nilijikaza nikaamua nikisome kile kikaratasi nikabaki nimetoa macho...... "Habari mke wangu mie nimeelekea kazini doctar kaniakikishia kuwa amekutoa mimba ile siku niliongea na simu makusudi ili uweze kula chakula nilichokuletea ili tuweze kufanikisha hili sasa utachagua kuzika au kusafirisha nilishasema siitaji mimba" maneno yalisomeka ivo kwenye kile kikaratasi Fuuuuuh! nilishusha pumzi kwa hasira na nilipanga zaidi niweze kuelekea nyumbani maisha ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments