MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Sita ( 6 )

MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Sita  ( 6 )

************* @Kila Mtu 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝 ...................Nilijikuta nguvu zikiniisha lakini kuna jambo nililikumbuka mama mkwe aliniambia anaitaji mimba akanipa na vipimo vya kupimia mimba basi ili kujidhihirisha nilienda kwenda shangazi kaja nakutoa kipimo niweka mkojo nikawa nasubiri majibu yalipotoka nilitoa macho kwa uoga na mshangao nilijikuta kweli na mimba sikuogopa mimba niliogopa iwapo mume wangu angejua kama nina mimba ni nini kingetokea Siku iliisha uku moyoni bado nikiwa na wasiwasi kwanini nimebeba mimba na mume wangu ataamua nini niliwaza lakini nilikosa Majibu kabisa kutokana na swala hili , Nakumbuka ilikuwa jumapili moja isaya alikuwa hajaenda kazini tulikuwa tunapata chakula cha mchana uku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments