π•Ύπ–Žπ–’π–šπ–‘π–Žπ–Ÿπ–Ž: π’π‡π„πŒπ„π‰πˆ π”πŒπ„πˆππ†πˆπ™π€ πŠπ–π„π‹πˆ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐇 πŸ”žπŸ“š *SEHEMU YA KUMI NA TATU { 13 }*

π•Ύπ–Žπ–’π–šπ–‘π–Žπ–Ÿπ–Ž: π’π‡π„πŒπ„π‰πˆ π”πŒπ„πˆππ†πˆπ™π€ πŠπ–π„π‹πˆ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐇  πŸ”žπŸ“š              *SEHEMU YA KUMI NA TATU { 13 }*

Upande wa Flora naye baada ya kupigiwa simu na mumewe (Lukasi) kuwa kesho ndio angekuwa anarudi nyumbani kutoka safarini Mwanza alipoenda kibiashara. Flora alichukia sana huko kurudi kwa mume wake. "Sasa huyu naye na hicho Kibamia chake anarudi kufanya nini?" Flora alijiuliza moyoni huku akisonya. "Yaani sio siri nimetokea kumchukia mume wangu, natamani hata angekaa huko mwaka mzima bila ya kurudi nyumbani" aliendelea kujisemea Flora. Hapohapo akamkumbuka Japhet na kujikuta akitabasamu usoni kwake. "Nimetokea kumpenda sana Japhet jamani, ningefurahi sana kama ndio angenioa na kunimiliki mimi sio yule kaka yake hajui hata kumridhisha mwanamke" alisema Flora huku akichukua simu yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments