MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJILI SEHEMU YA 18* Nyieee au kwa vile kalewa pombe isije ikaisha akanichongea mie mwizi😃

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJILI  SEHEMU YA 18*  Nyieee au kwa vile kalewa pombe isije ikaisha akanichongea mie mwizi😃

pesa yote hii kweli ananiachia??? Yule mdada mwenzangu wa mapokezi ndo alinitoa ushamba akaniambia hiyo ni pesa basi nawewe shoga yangu 😝😝😝 ukipewa million si utazimia hapa..?. Uuuwww mi naiona kubwa mwenzangu ananiambia hiyo pesa ya chai tu mbona hahahaaa niliweka kwenye mkoba nikatulia😃😃 Romy alituagizia pombe mi nikataka kumwambia pombe sinywi yule mwenzangu akanikonyeza acha ushamba kubali uagiziwe mi nitakwambia cha kufanya... Nilitulia tukaagiziwa pombe mie pombe situmii wala sijawahi kunywa😃😃yule mwenzangu alinisanua nunua Fanta passion mimina kwenye glass then jifanye unakunywa Savanna hiyo pesa ya pombe akikupa unatunza😝😝 Kweli mjini shule bwana😃😃nilifanya vile then Ile pesa ya pombe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments