mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu

mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu

Mambo mchaga,nimesoma kisa cha huyo dada mwenye mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu maana ni miezi tisa sasa ila naona km nipo ndotoni bado.Mimi nimeolewa ndoa nzuri kabisa na takatifu ya kanisani 😂mimi na mume wangu tumejaaliwa kupata watoto watano.Namshukuru Mungu kwa hilo Mume wangu tulianza chiniiii chiniiii na tumenyanyuka wote mpk leo hii tunaona neema za Mungu kwenye maisha yetu. Nilipokuwa na ujauzito wa huyu mtoto wa tano mume wangu alikuwa ansafiri sana yaani sana madai akisemaa anafatilia biashara tulizofungua mikoani na mimi sikuona shida sababu namuamini ni mume wangu Sasa kuna siku ukweni kukatokea msiba na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments