
nilijikuta nikipata hasira sana na moyo wangu ulihisi maumivu ambayo hayaelezeki kWa haraka nikaingia Ndani na kwa jazba ya hali ya juu nikauliza “Khadija ndio Nani ??” Mume wangu aliniangalia kWa utulivu wa hali ya juu kisha akazungumza na simu yake. “Nakupigia muda sio mrefu mke wangu “ Nyieeeeh 🥹 imagine mtu anakudharau mpaka anamuita mwanamke mwingine mke wangu, Walahi nilijikuta nikiishiwa nguvu kabisa kwa kinyonge sana nikamuuliza mume wangu. “Una mwanamke wa nje Hamad ??” “Kesho ataingia Ndani atokaa Tena nje “ Alijibu mume wangu pasi na Kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile, Yaani hakuwa ata akiwaza Kuwa
0 Comments