2025 Klabu yenye thamani kubwa zaidi ni Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini

2025 Klabu yenye thamani kubwa zaidi ni Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini

Kwa msaada wa META inaonesha kuwa kwa 2025 Klabu yenye thamani kubwa zaidi ni Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa mujibu wa ripoti za Mapato na Matumizi, Wadhamini na Fedha za zawadi, ambapo wana thamani ya Euro Million 34 ikiwa ni sawa na BILLION 99 za Kitanzania. Sundowns wanavuna pesa nyingi za Udhamini kutoka Hyundai, Puma na MTN huku anayemfuatia ni Al Ahly ya Misri yenye thamani ya Euro Million 32 sawa na BILLION 93.67 za Kitanzania. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Mabadiliko, Mzee Alex Mgongolwa wa Yanga kwa thamani ya BILLION 100 maana yake Yanga ndio klabu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments