
Kwanza kila mtu akashtuka sana maana wamezoea kunionea muda wote, wamezoea kuniona mnyonge tu hivyo Leo ni Mara ya kwanza wanaona huu ukichaa wangu ambao niliachana nao tangu tu nilipoingia kwenye penzi la Kijana wao hamad. My zangu iko hivi, Sawa Mimi ni Mtoto wa shekhe, Sawa nimelelewa kwenye mazingira ya dini lakini kwa upande wangu mwingine Mimi ni Chizi mpaka Chizi Tena Yaani akili yangu ni shwaaaah ndio maana Neha alikuwa akinishangaa nimekuwaje. “Hamad unamuangalia mke wako fanya kitu “ Alizungumza mama mkwe, kWa sauti ya unyonge hamad akajibu. “Hiyo ndio hali halisi kwa sasa kwenye ndoa yangu mama,
0 Comments