MALIPO YA BUSU BALAA!* _________________________________* *16&17*

MALIPO YA BUSU BALAA!* _________________________________*  *16&17*

Kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele Suzan alianza kuzoea akaendelea na maisha yake . Taratibu alianza kumtoa Victor akilini kwake japokuwa haikuwa rahisi. Aliamua kuachana kabisa na swala la mapenzi na kuamua kubaki mwenyewe. Hakuwa na haraka tena na wala hakuruhusu mtu yeyote kuvunja moyo wake. Lakini James hakuacha kumuonyesha kuwa bado yupo karibu pia alionesha kuwa alitaka warudishe penzi lao . " Suzan naomba unipe nafasi niwe mafriji wako . " Hapana James sitaki tena mapenzi , sitaki kuumizwa wala kuvunjwa moyo niache nisimame mwenyewe. " Sawa lakini bado sijakata tamaa , acha nikupe muda itafakari zaidi. " Sidhani kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments