
Kuna upotoshwaji unafanywa na baadhi ya Watu kuhusu Simba, MO na DP WORLD, ikanibidi kama Mwandishi leo nikampigia simu Mwekezaji MO DEWJI kupata ukweli juu ya jambo hilo, naomba nimnukuu MO: “Suala la DP WORLD ni kweli lipo na tuliletewa na Serikali katika harakati za kuhakikisha Klabu zetu zinapiga hatua na kufanikiwa zaidi, DP World hakuwa anakuja Simba kama Mwekezaji bali Mdhamini, tulipokea kwa mikono miwili na sisi kama Klabu tuliandika Proporsal yetu kwao ambapo tulihitaji Udhamini wa BILLION 6 kwa mwaka ila haikukubaliwa, tukarudi chini mpaka BILLION MBILI kwa mwaka ila bado DP World hawakuwa tayari kudhamini kwa kiasi
0 Comments