MY CRAZY HOUSE GIRL 4

MY CRAZY HOUSE GIRL 4

Jioni ilipofika Damian alirudi nyumbani akiwa amechoka sana kutikana na kazi nyingi alizofanya ofisini pia alipokumbuka mambo ya Vanessa ndio alizidi kuchoka. Alifungua mlango na kuingia ndani, akakuta harufu nzuri ya chakula . Alishangaa kidogo na kujiuliza kama mpishi alikuwa Tito kama alivyompa maagizo lakini hakutaka kujipa matumaini mapema maana hajawahi kulikuwa chakula na Tito kikanukia vizuri kama vile. Akiwa sebuleni, Vanessa aliibuka ghafla akiwa amevalia apron yake. “Welcome home, boss wangu wa faida . Leo nimeamua nikupunguzie presha ya dunia,” alisema Vanessa huku akionyesha pozi la kibabe. Damian alimsikiliza tu bila kusema neno. Alikuwa amechoka hakutaka kupigishana kelele na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments