
" Bro muache huyo demu aishi hapo kwa huo mwezi mmoja najua hupendi ku share nyumba na watu wengine lakini mvumilie kidogo anamatatizo nyumbani kwao " " Hizo ni shida zake sio zangu " aliongea maverick huku anamuangalia Gabriella , Gabriella aliweka sura ya huruma "afu kumbuka ni mtoto wa kike huyo hapo kwako Nina uhakika atakuwa salama kuliko akienda kwingine ni mwezi mmoja tu kaka " bakari alijaribu kuendelea kumshawishi maverick Maverick alimuangalia Gabriella ni kama aliingiwa na roho ya huruma " Poa nitamuacha aishi hapa ila ni kwa mwezi mmoja tu na sio zaidi " maverick alikata simu
0 Comments