
____________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Tamina ni binti ambae alizaliwa kwenye matabaka yeye na ndugu zake wawili. Mama yao Bi zawadi aliwazaa kila mtoto na baba yake. Tamina baba yake alikuwa na asili ya kichina , Sasha na Maria baba zao walikuwa waswahili lakini kila mmoja alikuwa na baba yake. Ni zawadi aliwaleta watoto wake kwa shida bila msaada wowote kutoka kwa baba zao lakini alikuwa mwanamke mpambanaji sana akimiliki duka kubwa la nguo na vipodozi pia alikuwa na saloon ya wanawake. Tamina alikuwa ni binti mwenye bahati sana mara nyingi alipokuwa akiongozana na ndugu zake alikuwa akitongozwa sana na wanaume
0 Comments