SEHEMU YA KUMI NA MBILI* MADAM JOY NA MIMBA CEO MWANAFUNZI❤️‍🩹

SEHEMU YA KUMI NA MBILI* MADAM JOY NA MIMBA CEO  MWANAFUNZI❤️‍🩹

Majibu yakatoka kitu imo, nilitoa macho sikuwa nimefkria kabisa, nilipata uoga mpaka kwikwi ikanishika, J aliwahi kunituliza, doctor akampa maelekezo, akanileta chumbani, nakuniomba nipumzike aniandalie chakula... Sikumjibu bado nilikuwa na hasila nae, ili bidi, aludi kwanza kunituliza ndo akapike, "mke wangu usinikasilikie basi, nilitaka tu kupata utulivu, saivi sitofanta hivyo tena, sitokukela sukari yangu... Nikainuka nitoke akawahi kunikubatia kwa nyuma, uku ananimbembeleza, Jeon unamakusudi, ivi ulishindwa nini kunijulisha, mpaka ukanitia hofu kwani mimi sijui kama wewe ni mwanafunzi kiasi kwamba nisikuelewe? We nenda tu kaendelee na utaratibu wako mimi nimeshazoea... " Nisamee mke wangu, nakuahidi haitojiludia tena, nitakuwa na kushilikisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments