*MY POOR BILLIONEA HUSBAND* *6-10* *

*MY POOR BILLIONEA HUSBAND* *6-10* *

*SEHEMU YA SITA* Tamina alienda kuchukua chakula ambacho walipika siku hiyo ilikuwa pilau ya nyama ya ng'ombe. Alimuwekea pamoja na kachumbari safi kisha akamuuliza " Unakunywa soda gani? Ilikuwa ni ajabu siku hiyo Tamina alionekana kuwa na furaha . " Achana na soda Maji yanatosha. " Nahitaji kukupatia na kinywaji sema unakunywa soda gani ? " Nipe cocacola. Alisema Arshan japokuwa hakuwa mnywaji wa soda ila kwa siku hiyo alikunywa kumridhisha Tamina. Tamina alienda kuchukua soda kwenye friji akamfungulia kisha akakaa pembeni yake akawa anamuangalia anavyokula. " Mmmmm ingependeza kama zingekuwa pamoja. " Usijali mimi nimekula muda sio mrefu .

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments