KOSA MOJA LIMEHARIBU MAISHA YANGU YOTE BASED ON TRUE STORY Sehemu ya 1

KOSA MOJA LIMEHARIBU MAISHA YANGU  YOTE   BASED ON TRUE STORY   Sehemu ya 1

Jina langu ni Irene, nina miaka 18, na hii ni simulizi yangu. Siandiki kwa sababu nataka huruma. La hasha. Naandika kwa sababu nataka angalau msichana mmoja ajifunze kutokana na mbegu niliyopanda na mazao niliyovuna asije akalia machozi yale niliyoyamwaga usiku wa manane, peke yangu, nikiwa chumbani kwangu na moyo uliojaa aibu na maumivu. Unajua maendeleo haya ya sayansi na teknolojia yanatuathiri sana hususani sisi vijana tuna uweza wa kuwasiliana na watu wa sehemu mbalimbali mtu wa mbeya na wa manyara wasingida au hata wa tanga.Mna uwezo wa kuwasiliana kwa miaka 20 bila hata kuonana na wapo wengine wanakutana na wanakuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments