
. Nilipokuwa mdogo, nilipenda sana kompyuta. Wakati watoto wengine wanacheza nje, mimi nilikuwa nikiandika programu kwenye kompyuta. Nilianza kujifunza lugha ya programu nikiwa na umri wa miaka 12 tu. Nilipofika shule ya Sekondari, nilitengeneza programu ndogo ndogo kwa ajili ya burudani, baadhi zikiwa za muziki na michezo. Vipaji vyangu vilionekana wazi mapema, na wazazi wangu waliniunga mkono sana. Mwaka 2002, niliingia katika Chuo Kikuu cha Harvard, ambako nilisomea sayansi ya kompyuta. Hapo ndipo ndoto kubwa ilianza. Niliona fursa ya kuunganisha wanafunzi wa vyuo kwa njia ya mtandao. Wazo likawa rahisi. Tovuti ya kijamii ambayo watu wanaweza kuwasiliana, kushare picha, na
0 Comments