
USICHANA ni wa thamani kuliko jinsia nyingine yeyote, msichana bila msimamo huwa ni sawa na choo cha kulipia,haja kubwa haja ndogo 30 kukoga 50 yeyote mwenye pesa ya kukidhi hitaji la kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha huondoka na kuacha wa harufu mbaya na uchafu wake. Usichana ni sawa na chakula kilichohifadhiwa kwenye bakuli zuri na safi kikiwa kimefunikwa, ikitokea chakula hiki huingizwa vijiko na kila apitae ni wazi kuwa mlaji wa mwisho (mume) hukuta kikiwa kimechacha, hukuta makombo, nani apendaye kula chakula kilichochacha?? Au makombo???? Thamani halisi ya utu wa binadamu haifananishwi na kitu chochote, mwanamke mwenye akili
0 Comments