
Nilikuwa nakaa kwa SHANGAZI YANGU baada ya mama angu kufariki na baba angu kuondoka kwenda machimboni. Shangazi yangu hakuwa na mume ila alikuwa na watoto wa kiume wawili ambao walikuwa wanaishi kwa baba yao. Kuna siku akaja na mwanume fulani nyumbani akaanza kumwambia huyu binti nimempenda nipe basi nimuoe. Shangazi akasema ongea naye akaja kuongea naye nikakataa. Shangazi akaniambia mkubali tu ana hela atakupa na atakusomesha mimi nimechoka kukusomesha. Jiongeze Siku mmoja akaja na soda akanipa nikanywa kumbe ilikuwa na madawa nikalewa nikawa nasikia maumivu kwa mbali kushutuka niko kitandani na yule baba niliyemkataa na damu akinifanya damu zikanitoka. Bikra
0 Comments