
Trisha Aliondoka Mpaka Kwa dada Yake Kawe Alifika Akiwa analia Tu "T mdogo wangu shida Nini" DaT Alikua Amepagawa Baada Ya Kuona Mdogo wake Analia Sana ** Huku KWA Aizack Akiwa Amesimama Hajui Aende Mbele Au Akae Chini Ray alimsogelea Pale Alipo "Vipi unaendelea Vizur??" Ray Alimuuliza Huku Akimshika Bega "Hicho ndio unaweza Kuniambia mimi?" Aizack alimuuliza Ray "AHADI Baina ya Marafiki basi Ni AHADI ambayo Aivunjiki Mpe Nafasi Na Umsikilize T ni Rafiki yake Mkubwa Usimpoteze Tafadhali" "Naweza Vipi kuitunza Ahadi Hiyo na Ikakamilika Ray Nampenda Sana T Mda Mrefu Sio jana Au leo" "Unafikili unaweza Kumlazimisha Bila Idhini
0 Comments