
Tessy akiwa bado kaganda anashangaa mara shahid aligeuka alipomuona akitoa haraka mkono kwenye tumbo la Shania. Tessy alipeleka juice Shania alichukua haraka grass ya juice na kuinywa moja kwa moja kama mtu mwenye kiu, alikunywa yote akarudisha grass kwa Tessy ambae alikuwa bado kasimama. "Tessy naomba ukae hapo nina maongezi na wewe. Tessy alikaa wakati huo Shania alikuwa akizunguka pale sebleni mara ashike uwa mara. aguse pale. Tessy kuanzia sasa Shania ataishi hapa ndani na sisi. "Boss kumbuka huyu ni mtu na ana ndugu...... Inatosha Tessy sijakuita hapa kutaka ushauri nimekuta hapa kukuomba tusaidiane kumuangalia na kuanzia mwezi huu nitakulipa
0 Comments