
Walimtafuta sana bila mafanikio mama wakati amekaa sebureni kachoka siku yatatu mdada wakazi alikuja na barua nimeiokota chimbani kwa dada Vanessa mama aliichukua na kuisoma ilikuwa imeandikwa niacheni nahitaji kuwa pekeangu kwa muda msihofu mama nababa mwambieni na Franco nipo dubai kwamuda nitaludi Walipata nafuu wakaendelea namajukumu yao wiki ilikatika ikiwa hawajamuona baada ya wiki mbili ndio Vanessa aliludi sikuhiyo apofika tu uwanja wa ndege alitoa simu nakumpigia Franco aje kumpokea Franco alichukua gari haraka nakuenda alipofika alimkimbilia na kumkubatia kwanguvu sana akamwambia Franco mfalme wangu siwezi kukaa mbali nawewe hakika umenionyesha sayari mpya sijawahi kuiishi tangu nimeingia sitaki kutoka
0 Comments