USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 10

USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 10

ENDELEA........ "Sitaenda mtoni kwa Mfalme, waamshe mabinti wote waje ukumbini. Kwa vyovyote vile mhalifu atapatikana" Malkia aliongea akionekana kuvurugika. Nilijitia bize na mtoto lakini Kijakazi wa Malkia Shamsa alinidaka. "Wewe pia ni Mwanamke, njoo hivyo hivyo tena bahati nzuri nguo zako zimelowana na kamtindo ka nywele zako sasa utadhani ni mdogo wake Malkia" Tunu aliongea, ana mdomo huyu acha tu. Basi alinisaidia kubeba mtoto tukaelekea kwenye kusanyiko lililoitishwa na Malkia Shamsa. Hata Ada Mama wa Mfalme alikuja kujionea kinacho endelea si unajua tena Wanawake tuna asili ya uongo. "Kuna Mbweha mmoja alikuwa anaoga na Mfalme kwenye mto ambao hatakiwi kuingia.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments