
kwenye kazizao walikuwa wanafanya shoo sikuhiyo usiku hivyo alipowaacha wakiwa anajiandaa maandalizi kwa ajiliya shoo Fred alimwambia Vanessa ataludi kuwaona wakifanya fansheni shoo Vanessa akamwambia sawa mpenzi wangu Badae walipoanza shoo Fred alikuja na Franco pamoja na France walifurahi kuwaona Vanessa na Erica kwenye shoo wakiwa warembo mnoo na walivutia sana pale kwenye jukwaa Baada ya shoo kuisha walifurahi pamoja na walitoka pale wakaelekea nyumbani Erica na kakazake pamoja na rafikiyake Vanessa Walipofika nyumbani Fred aliingia na Vanessa chumbani kwao baada ya muda Vanessa alitoka chumbani alikuwa anaelekea jikoni akitaka maji yakunywa alipokuwa jikoni alikutana na Franco naye alikuwa kaja
0 Comments