NI WANGU PEKEANGU epsd 6. Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass

NI WANGU PEKEANGU epsd   6.  Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass

kwani alishtuliwa sana na Franco kwani alikuwa anajua Franco atafanya chochote kumvurugia kwa mpenziwake watuwoote waligeuka na kumtizama Vanessa kwani walimuona kama kuchanganyikiwa aliona ainuke na kutoka nje akaita ubar chapu chapu wakatihuo Fred aliona amfuate na alipofika akamkuta ndio anaingia kwenye ubar akamuuliza vipi Vanessa alijibu najisikia vibaya wacha niende nikapumzike nyumbani kwetu kisha alimwamulu dereva twende Fred alimwambia nitakuja baadae, kisha Fred aliludi kwenye meza akawaambia hayupo sawa anajisikia vibaya huenda nihoma Franco akajibu uwenda itakuwa Kisha Erica akamwambia endelea kaka natamani kumjua wifiangu maana ninawifi mmoja nataka nimjue na huyo Franco akamjibu tulia utamjuatuu siku sio nyingi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments