
samahani kama ninakuudhi Vanessa ukweli huuoni huku akiwa anatokwa na machozi na kusema kuwa unajua nakupenda sana sana kwanini hunielewi Vanessa Vanessa akamwambia hivi Franco unani jamani mbona unanifanyia hivi mimi sasa hivi ni nini sasa Akamiinua na kumwambia naomba kaa na nikuulize Akamuuliza utamwambia nini Fred ikiwa akijua kuwa unanipenda Franco akajibu huyo niachie mimi kwanza naomba unikubale hakika hutojuta kuwa namimi nitakufanya uwe mwenye furaha sana Vanessa akamwambia Franco usiwe hivyo sasa nitafanyaje mbona unanifanyia hivyo naomba niende ndani nikafikili nitakujibu Franco alimluhusu Vanessa na kuondoka kwenda chumbani kwake Kisha aliinuka nakuingia chumbani kwake na yeye Asubuhi ilipo
0 Comments