NILIMSALITI MUME WANG NA KUTEMBEA NA KICHAA ANAYELALA NJE YA JENGO LETU NIKAPATA UJAUZITO WAKE NA KUJIFUNGUA MAPACHA BILA KUJUA NI MPELELEZI 🥰07

NILIMSALITI MUME WANG NA KUTEMBEA NA KICHAA ANAYELALA NJE YA JENGO LETU NIKAPATA UJAUZITO WAKE NA KUJIFUNGUA MAPACHA BILA KUJUA NI MPELELEZI 🥰07

. Hakika kichwa changu kiliuponza mdomo😒 kwani niliwaza kwamba nikimpongeza Godwin na kumpa milioni 5 kisha nimwambie ni zawadi ya kunipa mimba maana ameniirejeshea heshima ndoa yangu, nikadhani Godwin atazichukua zile milioni tano na kwenda kujipanga kimaisha aondokane na hali ya ukichaa aliyonayo kwani nilihisi pengine kichaa chake kinaletwa na umasikini lakini sivyo. Sikuamini kabisa kilichotokea baada ya kumuambia Godwin nina mimba yake😒 lakini nataka nimsingizie mume wangu Brown kuwa ni yake maana yeye Brown anaamini ni yake hivyo Godwin achukue milioni tano Kama zawadi ya kunipa mimba kisha akajipange zake kimaisha mbele kwa mbele na zile milioni tano. Kitendo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments