MY CRAZY HOUSE GIRL 15

MY CRAZY HOUSE GIRL 15

Vanessa a likiwa akifanya kazi zake na kwenda kumchungulia kama yupo sawa. Kuna muda damian alikuwa kupitiwa na usingizi Vanessa alisogea karibu kabisa na kitanda akamshika kwa kiganja chake kwenye paji la uso. Damian alifumbua macho akamuangalia. " Vipi? " Nilikuwa nakupima joto la mwili. " Nipe sawa. " Sijui kwanini sina amani ... " Ndio maana kila mara unakuja kunichungulia? " Ndio naogopa usije ukazidiwa. " Siamini kama wewe kichaa unanijali. Vanessa alikaa pembeni ya kitanda kisha akasema. " Kuna muda wa kuwa kichaa pia kuna muda wa kujali hususani kwenye matatizo na maradhi. " Unaonekana sio wa kawaida

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments