NILIMSALITI MUME WANG NA KUTEMBEA NA KICHAA ANAYELALA NJE YA JENGO LETU NIKAPATA UJAUZITO WAKE NA KUJIFUNGUA MAPACHA BILA KUJUA NI MPELELEZI 🥰06

NILIMSALITI MUME WANG NA KUTEMBEA NA KICHAA ANAYELALA NJE YA JENGO LETU NIKAPATA UJAUZITO WAKE NA KUJIFUNGUA MAPACHA BILA KUJUA NI MPELELEZI 🥰06

Rafiki yangu Suzana alitusuluhisha mimi na Brown , basi baada ya maridhiano Brown alinichukua kwenye gari🚗 lake tukaanza safari ya kurudi nyumbani. Wakati tukaribia kufika nyumbani mara tukashangaa kumuona kaka kichaa akiwa kalala getini kwetu, amesambaza makaratasi, makopo, na mauchafu ya kila aina yani pale getini kukawa Kama dampo. "Mke wangu huyu mwendawazimu sasa kazidi, kuna siku tutarudi tukute kavunja vunja viyoo acha nikamtoe kwanza wenge akili imkae sawa" Alisema mume wangu Brown huku akisimamisha gari na kutaka kushuka ili akampige yule kaka kichaa. " aaah mume wangu usimpige bwana😒, kumbuka yule ni kichaa sasa ukimpiga utakuwa unamuonea wewe mkanye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments