🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

Niachie. ( kama anataka kutumia nguvu anitoe nguo nilipiga kelele) " ananibakaaaaaa. ( Akaniachia mwenyewe alafu akashangaa uku anasema) " Vumi unataka nipigwe na wananchi. " Ondoka nitapiga kelele tena mimi sitaki hii tabia. " Naondoka ila Samahani sana usije kumwambia dada yako. ( Akaondoka...nilifunga mlango uku nimeshika ile elf 50 najiuliza nimempe dada hii pesa na nimwambie ukweli...wazo likaja niiweke kwenye begi langu...nikaiweka pesa najistukia nanuka jasho aijui ile purukushani...nikaenda kuoga nikafunga tena mlango vizuri nikalala asubuhi dada ndio kaja kagonga sikufungua kwanza nikachungulia dirishani nani anagonga nilipomuona yeye dada ndio nikafungua) " Mambo odo wangu. " Sijambo Shikamoo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments