NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03 "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA   03  "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza

"Ni kama umeanza kusahau namna ya kuniheshimu, yaani unataka nilale na Mtumwa wangu? hakika hauna tofauti na nyani mzee" Mike aliongea kisha akaondoka Suzy alijilaumu kwanini kaongea upuuzi. Upande wa Ciara alifua viatu chapu chapu kisha akavikausha kwenye mashine. Alitembea taratibu mpaka sehemu aliyokuwa amekaa Bilionea "Umefanya kazi nzuri..." Mike aliongea baada ya kuvikagua viatu Ciara aliachia tabasamu kimtindo kisha akataka kuondoka "Nasikia unaweza kuchora hadi yaliyomo moyoni, naomba uchore vitu vinavyo sumbua moyo wangu" Mike aliongea Basi karatasi moja kubwa ililetwa, Ciara alimtazama kwa umakini Mike, baada ya kuona kila kitu alianza kuchora..... Dakika 30 hazikupita alimpatia karatasi linaloonesha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments