
. Nikakumbuka kuwa nilimdanganya mzee Abdullah kuwa nilikuwa nimeoa, ili mradi tu nisikataliwe kupangishwa humo ndani hivyo kila mtu alijua nimeoa kumbe hapana. “atakuja tu, nataka nipate hela mwezi wa kumi na mbili nimtumie,” nilisema. Nikaenda zangu kuoga na kutoka haraka maana tayari jua lilianza kuchomoza kwa mbali. “utaniwekea nguo hapo koridoni,” alisema Sabrina. “sawa, halafu nitakuletea na zawadi usiku ukinifungulia mlango,” Damian alisema, Kasabrina kakafurahi vimashavu vyake vyeupe vikimpanda juu, hakika kalikuwa kazuri na kameiva. Damian kwa sekunde kadhaa, akijiuliza: hivi si haka katoto nikaoe tu kwani dini nini bhana. Naifathy wa nini!” Basi akavaa nguo na kuchagua vizuri
0 Comments