NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH. 35

NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH. 35

mama yake akamwambia kwahiyo unanifokeaaa?? Inno akasema naomba tuongee nje mama sasa hivii Nyie inno ni mwehu aisee , mama ake akainuka wakatoka nje akanambia nakuja salma nikasema sawaaa akaondoka Baada ya kama nusu saa ndio inno alikuja akaniuliza amekwambiaje nikamwambia alivyosema anataka alex aende nyumbani akasema msamehe hatokufata tena ,wamalizane wenyewe kwani namba ya mwanae si anayo siku akija niambie nikasema sawa Alinipa siku kubwa nzuri ya kisasa, akanifungulia WhatsApp, akanambia Alex alisema atakupigia akifika nikasema sawa basi nilifanya kazi zangu ,usiku kama kawaida nilipiga hesabu nilivyoambiwa mtaji na faida nikawapa posho kila mtu akaenda, Unajua zakia nilikuwa namkwepa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments