BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 SEHEMU YA 01

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  SEHEMU YA 01

"Ni binti mrembo ye hufanya kazi katika hotel moja hivi..asubuhi wakati amelala simu yake iliingia msg na ule mlio wa simu ukamshtua kutoka usingizini.." "Jamani nimechelewa na leoo" aliinuka huku analalamika haraka haraka alioga na kuvaa nje kulikuwa na dalili za mvua kunyesha Vicky alipitia sweta la dada yake juu ya kochi haraka na kutoka ... Alichukua boda haraka kuwahi sehemu yake ya kazi ambayo anafanya kama kibarua baada ya hapo anaelekea chuo .. Hoteli anayofanya usafi Vicky ni Hoteli kubwa sanaa hotel ambayo inakutanisha watu maarufu mbali mbali vigogo ,matajiri na hata mastaa wakubwa hufikia hapo ... Siku hiyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments