NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH SEHEMU YA 43__44💘💘

NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH SEHEMU YA 43__44💘💘

juddy hakuruhusiwa kwenda popote japo alikana kabisa kuwa yeye hausiki na maradhi yangu. Baada ya muda kupita majibu yalikuja ni mtoto wa Felix kweli, Felix alimuomba msamaha sana Alex akasema ni kweli ila shetani alipita hakuna haja ya yeye kujitetea zaidi ya kuomba Samahani ,alex akamwambia mimi sijali yale tena ila naomba uongee na mzazi mwezio kuhusu hali ya Salma nina uhakika asilimia miaa Amemuuza yeye kwa tamaa zake binafs ... Felix alimuomba sana Juddy aseme ukweli, labda kwenye ukweli wake kuna njia inaweza kuonekana jinsi ya mimi kupona lakini bado juddy alikataa kabisa tena alikataa kwa kilio chote na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments