Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Mwanamama Sakina alisogea na kumshika Tina kisha akamwambia usijali hata hiyo harusi sisi ndio tutakao amua ifanyike au isifanyike... Inaendelea... Sehemu Ya 21 Mwisho.

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri   Mwanamama Sakina alisogea na kumshika Tina kisha akamwambia usijali hata hiyo harusi sisi ndio tutakao amua ifanyike au isifanyike...  Inaendelea... Sehemu Ya 21 Mwisho.

Lakini Mimi sikusema chochote, Nilirudi nyumbani na kwenda moja kwa moja hadi kwao na Edina sababu edina alikuwa tayari anaelewa kwamba kuna watu wanatakata kuharibu ndoa yetu hivyo haikuwa vigumu kumuelewesha nilifika na kuwaambia kutokana na mambo kuwa magumu mimi na mwenzangu tumeona ni bora hii ndoa tukafungie kijijini kwetu, Familia ya Edina walishtuka kidogo, Maana imekuwa ni ghafla sana harafu zimebaki siku chache ndoa kufungwa, Kwakuwa nyumbani kwao na Edina wanaelewa mimi sina tatizo na sijawahi kugombana na Edina harafu ukizingatia na mahari nimeshatoa ikabidi wanikubalie kuondoka na Edina ili ndoa ikafanyike kule kijijini, Lakini ilibidi Edina aondoke na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments